Natafuta power suppry ya laptop

123yrz

Member
Aug 26, 2011
71
7
Natafuta power supply ya laptop aina ya compaq e610c nipigie namba 0714260821 nipo Tabora
 
hiyo sio mistake ya ku-ignore, anahitaji kujipanga aisee. namna hii unashangaa hupati ukurugenzi na hata kama unajiajiri u will rarely make it international!!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
LAKINI UMEELEWA.....NGOJA WENYE MSAADA WAFIKE WAMSAIDIE.
<br />
<br />
 
Kwanini usiende kwenye maduka yanayouza vifaa vya computer ukaangalie?!
 
Natafuta power suppry ya laptop aina ya compaq e610c nipigie namba 0714260821 nipo Tabora

Kwa wewe wa tabora inaweza kuwa rais kuagiza na kupata hiyo power supply kutoka ebay au amzon kuliko kutoka dar. kama watu wanaohusika na mambo hayo wasipooona tatizo lako hapa na kama unayo VISA card au kama una mtu mwenye paypal mwambie akuagizie within two weeks utakuwa umepata

Gharama ya adaptor na charge za courier zinaweza kuligana au ya usafiri ikawa kubwa. Naona ebay haizidi $10
AC adapter for HP Compaq Evo N410c N600c N610c N620c | eBay
 
Duh! kweli walimu siku hizi hakuna, what the hell is "SUPPRY"?????? kuna mwingine humu alisema anatafuta "FLAME" ya duka mwingine juzi juzi akasema naomba msaada "ANABDREED" damu kibao. C'moon guys, something is very wrong somewhere and need to be addressed!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom