Natafuta platform ya watu hawa kwenye mitandao ya kijamii ili nichangamane nao mwakani

Nipo tayari na nimekidhi vigezo, isipokuwa kigezo namba tatu. Ninayo mahusiano mazuri na Mungu lakini sio mungu wa watumwa na wanafiki (Abrahamic).
 
1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.

2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods.

3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (Abrahamic God).

4: Watu ambao wanaamini katika Familia ya Baba na Mama na Watoto bila mchepuko au make mwenza.

Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.

Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup la Whatsapp au social network yoyote.

Msaada wakuu.
Watafute Jehovah's witnesses.
 
Wasiliana na ile kamati ya viongozi wa dini, wako tayari kama posho iko tayari.
 
1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.

2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods.

3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (Abrahamic God).

4: Watu ambao wanaamini katika Familia ya Baba na Mama na Watoto bila mchepuko au make mwenza.

Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.

Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup la Whatsapp au social network yoyote.

Msaada wakuu.
Jitengeneze wewe tukufollow
 
Back
Top Bottom