Natafuta pikipiki ya mkataba nipo Dar es Salaam

Cards Fantasy

Senior Member
Nov 3, 2016
192
110
Habari za leo?

Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani.

Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa mkataba kulingana na hali ya Pikipiki.

Simu :- 0784 645 900

Natanguliza Shukrani.

Hussein.
 
Back
Top Bottom