Natafuta pick up,bei sh milioni 4.5

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
NIMESHAIPATA HIYO PIK-UP ASANTENI SANA ===
NATAFUTA PICK UP,BEI SH MILIONI 4.5 NIPO CHALINZE,naweza kuja Dar kama ipo tayari.
natafuta aina ya toyota hilux,au nisana pickup,kama una brand nyingine ya pickup usisite kunijulisha
 
Mkuu bongo zipo adi lak4,ila uje na kamba ya kuivuta. Au uje na fundi ili wakati unarudi nayo chalinze uende unarekebisha. Mkuu fanya ata m8 upate gari bomba.
 
Kwa uzoefu wangu pick up ya bei hiyo itakuwa scrap best. Ila kama unatembelea pande za Arusha au Moshi kuna machaliii wanauzaga Peugeot 504 pick up unaweza pata kwa bei nafuu. Hivyo Vi-pijo vinadumu ajabu mtu wangu! Yani kwa kifupi roho ya paka. Ila kama unataka Toyota ongeza hapo kama mil 3 hivi ndio utapata kitu cha maana mtu wangu
 
Ukitaka kutupa pesa yako tafuta Pick Up ya bei hiyo. Pick Up ya bei hiyo ni LAZIMA itakuwa MTORI kupindukia na itakugharimu more than 4m kuiweka mkao. Tafuta kitu cha ukweli ongeza bei ya matengenezo niliyoiweka upate kitu swadakta.
 
NATAFUTA PICK UP,BEI SH MILIONI 4.5 NIPO CHALINZE,naweza kuja Dar kama ipo tayari.
natafuta aina ya toyota hilux,au nisana pickup,kama una brand nyingine ya pickup usisite kunijulisha

Mimi nina 504, bei milioni 8 tu na imetembea chini ya kilometa 110,000, warranted. Ukiitaka ni pm
 
unaomba PKUP ama BAJAJI
sidhan kama utapata kwa bei hiyo okup labda hizi za ulinzi shirikishi aka BAJAJI
 
NATAFUTA PICK UP,BEI SH MILIONI 4.5 NIPO CHALINZE,naweza kuja Dar kama ipo tayari.
natafuta aina ya toyota hilux,au nisana pickup,kama una brand nyingine ya pickup usisite kunijulisha

NINA CAnter tan 1.5 inaweek mbili kuingia nchini ninauza kwa Tsh milioni 15 tu!!!
 
NATAFUTA PICK UP,BEI SH MILIONI 4.5 NIPO CHALINZE,naweza kuja Dar kama ipo tayari.
natafuta aina ya toyota hilux,au nisana pickup,kama una brand nyingine ya pickup usisite kunijulisha

NI PM nikupatie maelekezo uje uione. IPO NI NZIMA. NI NISSAN PICKUP
 
ninazo milion 7 natafuta pick ups kama unayo nipigie namb 0684 889 447 immediate
MIMI nna Nissan vanette ton 1,yangu mwenyewe gari nzima....Ila naiuza 9.5mln
Inatumia petrol,ongeza hela uichkue
 
Back
Top Bottom