Natafuta picha na video za miaka 23 toka mwenge ukimbizwe

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,824
2,000
wakuu salamu kwenu,naomba msaada kwa yeyote anayeweza kutufahamisha wapi tunaweza pata picha za sherehe ya kuzimwa mwenge miaka 23 toka mwenge ukimbizwe.
Sherehe hii ilifanyika arusha katika uwanja wa sheikh amri abeid mwaka 1987 miezi ya kati.
Mgeni rasmi alikuwa hayati mwl j.k.nyerere.kulikuwa na wapiga picha wengi sana hasa wa nje bila shaka kutoka shirika la utangazaji la bbc,ambao walikuwa wanachukua picha kama za movie za kale kwa kutumia projekta za wakati huo.''hapan shaka kwa sasa zaweza ingizwa videoni'
je? Ni wapi kumbukumbu za matukio nyeti kama haya huhifadhiwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom