Natafuta Photographer

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
wakuu heshima zenu,


natafuta kijana mwenye umri kati ya miaka 15-25 ambae atafanya kazi kwenye photo studio yangu, awe anajua kupiga picha nzuri kwa kutumia profesional cameraz, awe na ujuzi wa computer, awe anajua kufanya editing kwa kutumia photo editor yoyote(adobe photoshop au macromedia fireworks au nyingine yoyote).

ujuzi wa kutumia kodak photo kiosk ni added advantage

ni PM au nipigie kwa: 0713 400 763

karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom