natafuta photo albums & Frames at whole sale price

elnathan

Member
Apr 15, 2011
41
0
hello
i have a photo studio and i need photo albums and frames za kununua za aina tofauti tofauti
anayejua wapi naweza kupata nitashukuru sana.

mwenye kujua nitashukuru akinijuza kupitia hapa au nat867@gmail.com

thanks
 

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
466
225
Mkuu. Album size zipo, mfano 4*6, 5*7, 6*8, 8*12 . pia photo Frame size zote zipo.Pia vifaa vyote vya Studio vipo, mfano Hit machine, Photo paper, Ribon Paper, Ink, nk.

Tunauza Jumla na reja reja .Kumbuka tunaweza kukutumia bidhaa (hasa kwa mlioko mikoani).
Tupo kariakoo Dar es salaam.
Tel 0766320252.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom