Natafuta PES 2018

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Naomba kama yupo anayejua namna ya kupata pes 2018 ya kucheza kwenye android anielekeze please
 
Naomba kama yupo anayejua namna ya kupata pes 2018 ya kucheza kwenye android anielekeze please
Kuna jamaa alitoa thread humu kuhusu hili game. Sikuisave page ila nakumbuka tittle ya thread.
Fanya hivi.
Ingia google andika Hatimaye PES 2018 latoka download sasa jamii forum
Iandike kama nilivyoandika usiache hata neno mmoja kisha utaiona kwenye web ya jamii forum, Ingia kwenye hiyo thread utaona link ya kudownload game.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom