Natafuta Personal Secretary

BizMogul

Member
Feb 21, 2014
42
11
Hello,
Nahitaji Personal Secretary,kwa ajili ya kusaidiana na mm katika shughuli zangu,lazima awe mrembo,anaejua excel vizuri,ajue mitaa ya dar maana atakua anatumwa mno,msiri,good english command,obedient na anaejitambua,umri sio ishu.
salary itakua between 350-700k.

tuma cv na Barua kwenda kwa info@penepro.com

UPDATES:
Bado naendelea kupokea Maombi na CV za watu,na wengi nimewajibu,naendelea kuwaencourage mtume kwa wingi na mwisho wa Maombi ni Kesho Jioni,na JUMATANO Interview itakua Next week,Pamoja na watu wengi Kukashifu hii Thread,Tatizo la ajira ni kubwa mno,na ikitokea mtu anajaribu kulipunguza tatizo hili msimkashifu,inavunja moyo.
 
haya! umri sio issue je elimu? na kigezo cha urembo ni macho yako au?
 
Hello,
Nahitaji Personal Secretary,kwa ajili ya kusaidiana na mm katika shughuli zangu,lazima awe mrembo,anaejua excel vizuri,ajue mitaa ya dar maana atakua anatumwa mno,msiri,good english command,obedient na anaejitambua,umri sio ishu.
salary itakua between 350-700k.

tuma cv na Barua kwenda kwa info@penepro.com
sekretary yupo ana patikana na ana vigezo vyote ila sio mrembo ..........ni handsome
 
sekretary yupo ana patikana na ana vigezo vyote ila sio mrembo ..........ni handsome
ni lazima awe ke,kuna kazi za kwenda kulobby wachina na wahindi lazima awe mrembo na very confident,japokua atakua trained,lazma awe na kianzio,dunia ya sasa ya kibiashara imebadilika mno
 
PS wa kuzurura mitaani yakwanza kuisikia hii
tatizo vijana wa sasa hv mmekariri ndo maana maisha yanawawia vigumu kupenya,biashara na career zimebadilika mno,huwezi kulipwa mshahara mzuri halafu utegemee kukaa ofisini tu,kazi nyingine za kwangu inabidi uzihandle wewe,like a manager...nasema PS maana atakua very close na mm kwenye kurun hizi kampuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom