Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

Mzolewa

Member
Dec 15, 2016
35
8
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana.

Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana.

Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanunue philips ile ya kitambo. Usinunue za kutembeza mikononi, ni feki. Kama upo Dar, nenda aljazeera super market Mtoni kwa azizi ally, au super market yoyote kubwa
 
Nimetumia Philips ila iliyeyuka control switch, nikanunua Hitachi ikaungua nikanunua aina flani ya pasi ya kutumia maji ikazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pasi za mtumba, mara nyengn zinakuja kama old stock, yaan iko box zake, zinaitwa "Russell Hobbs" ukipata hiyo mkuu umemaliza tatzo la kununua pasi kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom