konabar
Member
- Apr 18, 2018
- 25
- 19
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalo jishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. Kipindi hiki nikipindi ambacho ufuta unavunwa kwa hiyo wakulima wanauza ufuta kwa watu wenye mitaji kwa tsh 2000/= kwa kilo
Na serikali inatarajia kununua kwa 3500 kwa kilo. nakaribisha mtu yeyote mwenye cash nakutaka kutengeneza faida ya 1500 kwenye kila 2000/=. na prefer kwa waliokaribu hasa maeneo ya Dar.
Ili uweze kuona nini kina nunuliwa at list kila week na kuepusha lawama nakukiona kinachonunuliwa bila kusahau lile zao jingine la mwezi wa 9 tunaweza shirikiana na kuliuza bila shida......kwa yeyote atakae pendezewa anicheki inbox. kuna watu tumezungukwa na fulsa lakin hatuna mtaji na kuna watu mnamitaji lakn amna fulsa au mnabanwa na kazi za kuajiliwa tushirikiane kujikwamua kiuchumi amina