Natafuta partner wa kusafirisha naye mazao ya nafaka

Star onair

Senior Member
May 31, 2020
144
144
Habar zenu jamani.

Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo.

Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta gunia 6-8.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Unasafirisha mzigo kutoka wapi kwenda wapi? Mimi nipo hapa sana kazi naweza ungana na wewe tukawa tunapakia mzigo kwenye malori halafu mimi nasafiri nayo.

Namba yangu 0687886600
 
Tumia kampuni zinazosafirisha mizigo,.Ukienda Dar tembelea kidongo chekundu ndio ofisi zao zilipo watakupa connection ya gari za huku mikoani.
 
Unasafirisha mzigo kutoka wapi kwenda wapi? Mimi nipo hapa sana kazi naweza ungana na wewe tukawa tunapakia mzigo kwenye malori halafu mimi nasafiri nayo.

Namba yangu 0687886600
Uzoefu wenu upoje kwenye mazao ya mboga mboga kama hoho, nyanya, bamia bili bilinganya nk. Kutoka nyanda za juu to Dom.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom