willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,024
- 1,177
Habari zenu wakubwa ninatafuta partner wa kuingia nae mkataba, maana nina ujuzi kichwani wa kuwekeza kwenye sector ya ICT lakini sina pesa ya kuanzia nakuhakikishia kabisa faida ipo ndani ya mwezi wa kwanza tu wa kazi, ninatengeneza system za shule, hospitali, vyuo, supermarket, inventory, all management system etc.
Pia naweza networking yaan kutengeneza network ya office na server na kutroubleshoot. Kurepair na kumantain computer aina zote hardware na software. Website development and hosting au pia hata duka la vitu vya ict. Nakuhakikishia kuingizia company/workshop/duka faida ndani ya muda mfupi kwasababu ninaweza hivo vitu hapo juu kwa utaalam wa hali ya juu bila wasiwasi, hivo usiwaze kuwekeza hii sector ya ict inaingiza pesa nyingi hasa tukifungua office hap dar es salaam. Unatakiwa tu uwe na mtaji wako tusajiri tra, office furniture Meza na viti vitatu , one computer desktop mimi nina laptop yangu ya kupiga kazi nikiwa geto baada ya hapo tukifamikisha tuweze kupata deals za serikali za mamillioni maana ninuhakika na system nazofanya. Wekeza nami sasa. Karibuni
Mbinu ya kupata wateja ntawafata popote walipo na kuwashawishi kwann wanahitaji huduma zetu kwa muda kama huu.
Nb nimekosa deals nyingi kisa sina frame ya biashara