Natafuta partner kuwekeza katika sports betting tips

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,810
11,447
Mambo vp wadau humu ndani. Nimekuwa kwa muda mrefu nafuatilia haya mambo kama kichwa hapo juu kinavyosema.

Sasa kwa uzoefu wangu nimeweza kupata formula fulani ambayo imekua na constant results. Natafuta mdau ambaye tunaweza kuongea na kushirikiana zaidi. Lengo langu ni kuwa na website ambayo itakuwa ikiuza soccer match tips. Niko serious na ninahitaji mtu ambaye tutakaa chini na kufanya kitu. Na ataweza ku-prove matokeo ya mechi ambazo nitakua na predict. Nicheki pm.
 
Zipo online site nyingi sana za bure na zenye uzoefu plus zina wataalamu wa soka. Huoni kama unapotaka kuwekeza hapatakulipa especially ukizingatia wabongo wengi bado wapo chini katika huo mchezo na hata wale waliopo wengi wao hawapo tayari kutoa fedha kwa kitu ambacho hata wewe huna uhakika nacho. Predictions are just predictions no more no less.
 
You got a point kaka. Ila kwa upande wa PREDICTION. Nadhani nimekosea kutumia hilo neno. Badale yake ilitakiwa kuwa 100% sure soccer tips.
 
You got a point kaka. Ila kwa upande wa PREDICTION. Nadhani nimekosea kutumia hilo neno. Badale yake ilitakiwa kuwa 100% sure soccer tips.
Hakuna sure kwenye prediction ww..ndio maana tunasema ubashiri ambao unaweza kutokea ama la.rahisi tunasema ni kubahatisha hata ww si kila siku itakuwa na uwezo wa kubashri sahihi
 
Hakuna sure kwenye prediction ww..ndio maana tunasema ubashiri ambao unaweza kutokea ama la.rahisi tunasema ni kubahatisha hata ww si kila siku itakuwa na uwezo wa kubashri sahihi
Besides kama yupo 100% sure si abet mwenyewe apige hela ya maana,
 
  • Thanks
Reactions: pri
Umewaza vyema sana kaka. Kama lengo ni kutengeneza pesa... Kwa hii comment umeudhihirisha utapeli wake
Kama hujui kitu unapiga kimya. Acha ujinga. Anyway, mimi napiga hela uchao. Nina majukumu mengine, mimi ni muajiriwa. Sipati muda wa kutosha. Na hiki ninachotaka kufanya si kuwa nabahatisha. Nahitaji mtu ambaye nitamfundisha pia lakini mwenyewe muda kuliko nilivyo mimi. Hapo hakuna utapeli wowote, so far nimesema nitakutana na mbia na nitamjuza namna navyofanya mathematical calculations zangu na yeye kuprove track ya matokeo ya nyuma na mapya.
 
Mimi Niko tayari, ILA ili niwe na uhakika, nipe kwanza gemu 10 za Leo.. Mkeka ukitiki asilimia 90 na kuendelea, we can do it
 
Hahahaaaaaa! eti hana muda ni muajiriwa. Yaani mkeka Bet unaweza ukaweka mpaka mil 2 upige mil 20 hlf ww unasema huna muda?

Sasa huo muda wa kutengeneza tips utaupata wapi? Hiyo ajira wanakulipa sh ngapi kwa siku?

Maana mimi kwa kubahatisha tu kuna siku nimeweka laki tano nikala m2 kwa masaa kuna ajira zaidi ya hiyo kweli hasa kwa mtu kama ww unaamini ukibeti ni 100%
 
Halafu hata zile site za kulipia ambazo huwa zinatoa tips za matokeo Mara nyingi huwa wanatoa tips kwenye ligi ndogo ndogo ambapo hupitisha rushwa kununua baadhi ya matokeo..huwezi kuwa 100% sure na matokeo kama hujatoa rushwa
 
Back
Top Bottom