Natafuta Part Time Job kwenye uchambuzi wa uchumi

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
319
213
Habari wakuu...Mimi ni Mchumi mwenye Digrii mbili za Uchumi. Natafta kazi (Part Time) ya kufanya Uchambuzi wa Maeneno mbali mbali ya Uchumi, Kijamii n.k. Nina uzoefu wa kufanya Uchambuzi (Analysis) kwa takribani miaka 6.
 
Kaka naomba utupe mawazo yako kuhusiana na uuzaji wa hisa wa kampuni za simu,Je is it worthy to buy them?Mtandao gani unaona ni profitable?
 
Habari wakuu...Mimi ni Mchumi mwenye Digrii mbili za Uchumi. Natafta kazi (Part Time) ya kufanya Uchambuzi wa Mieneno mbali mbali ya Uchumi, Kijamii n.k. Nina uzoefu wa kufanya Uchambuzi (Analysis) kwa takribani miaka 6.
Mkuu mchumi wa degree mbili unatafuta Kazi?....

Sasa sisi wenye degree moja ya uchumi tutafanyaje....

Poa lakini mafanikio mema .......
 
Ndo mana Home huwa wananiambia nikaongeze degree ya pili huwa nawakatalia kabisa aisee, acha niendelee na kaujasilia Mali kangu haka haka katanitoa tuu , pole nakuombea upate hiyo kazi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom