Natafuta pa kuanzia tukianza kuing'oa serikali kwa maandamano ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta pa kuanzia tukianza kuing'oa serikali kwa maandamano !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Johnsecond, Jan 30, 2011.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jamani siku hizi nalala nimechoka sana nikiwaza jinsi tunavyodhurumiwa na baaadhi ya wenzetu. Sasa naomba kuuliza swali moja hivi kubadirika badirika kwa majina ya makampuni ya simu na mahotel ni kukwepa kodi au sivyo? Je kuna sheria ya wawekezaji kutolipa kodi kwa muda wa sijui majaribio? Kama ni uhuni tukianza maandamano ya kuing'oa serikali hivi karibuni lazima tuanzie na Movin pick hotel na jengo la airtel maana kama kweli hawa watakuwa wenzetu wa humu humu wajanja janja lazima wakati serikali inakimbia na wenyewe wanabaki mikono mitupu. Ili tuwe strategy tuanze na waliojilimbikizia kwa ufisadi.

  Nawakilisha
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeshasahahu kwa muda mfupi hivyo, wakati watu wako bize kumpigia Kampeni Dokta Slaa wewe na Wenzio (MS, Dar es Salaam), mlikuwa bize kupinga, sasa hata miezi sita haijafika umeshaanza kulalalmika
  subiri uone cha moto hii ndio serikali uliyokuwa unaitaka
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kajimwagie petroli na ujiwashe moto mbele ya ikulu kama yule jamaa wa Tunisia, halafu shughuli itaanza:coffee:
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Washa moto, mie niko radhi kujiunga
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pull trigger tuingie mtaani!!!
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watanzania ni waoga na uoga wenyewe unasabishwa na umbumbu wa baadhi yetu na ukosefu wa elimu... Watanzania ni watu wa amani wako radhi kufa njaa ingali wanajua anayewafanya wafe kwa njaa ni nani.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  watu 10000 wanakwenda kulala kifulifuli kwenye runway za airport

  watu 10000 - 10000 wanalala kila barabara inayodefine njia za uchumi kama kipande cha Kimara-Ubungo, Junction ya Agakhan, Sam Nujoma, Lango la Bandari.

  dakika 3 tu utasikia JK yuko Saudia.
   
 8. n

  niweze JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu mimi nachukua issue na hii sehemu ulioandika hapa juu. Siju definition ya amani imebadilika au nakakosea. Amani ni utulivu ambao unaambatanishwa na wananchi kuwa na ajira, uhuru wa vyombovya habari, wananchi kuwa na katiba ya wananchi sio chama kimoja na wananchi kutokuwa na umaskini kukosa vyakula na pesa za kuelimisha au huduma mahospitalini na kikubwa zaidi ni viongozi kutokuwa na utajiri kwa kupitia mali za Taifa.
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Amani ya Tanzania haiko kama ulivyo fafanua, amani ya Tanzania ni pale wananchi wanapo wasikiliza viongozi wa nchi, wanapo omba haki yao na siyo kudai, ukidai unaambiwa unataka kuvunja amani ya nchi... Ukisema ukweli au kutetea maslahi ya wananchi unambiwa unataka kuwagawa watanzania n'k.
   
 10. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  nani wa kumfunga paka kengere? :coffee:
   
 11. tama

  tama JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Anza uone jinsi utakavyopata wafuasi.
   
 12. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna viongozi walioheshimika sana na wananchi wakajiona kuwa ni waoga lakini haya mambo huwa yana mwisho bwana. Sasa hivi kila mtanzania amechoka na serikali hii ya ovyo hivyo mimi niko tayari kuingia mitaani kabisa na hata kama itakuwaje. Hakuna mwoga miji mikubwa ikigoma watakimbia tu mfano Arusha, Dar, Mwanza hata na Dodoma inatosha kwani Misri na Tunisia waligoma wananchi wote? ni miji mikubwa kubwa tu wanashika adabu wenyewe. Hawa ni kuwafukuza tu na sisi hatutafukuza mmoja tu ni list nzima hatuitaki nchini ule uchafu woooote out !
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kaka naona umeniwahi.

  Hawa jamaa wamedhihirisha kwamba wana akili finyu na maamuzi yasio na busara..sasa wakae kitako wanyolewe kwa chupa na utawala wa fisadi Kikwete mpaka damu itoke..ndio watatia akili.
   
Loading...