Natafuta ofisi za CHADEMA jamani!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
May 13, 2011
109
88
Hawa jamaa wamenikosha sana...Nataka nijivue gamba nivae gwanda. Wapi ofisi za cdm huku mbezi luis..mbezi mwisho...au nipeni contacts makamanda!!! Pipozzzzzzzzzzzz
 
Hawa jamaa wamenikosha sana...Nataka nijivue gamba nivae gwanda. Wapi ofisi za cdm huku mbezi luis..mbezi mwisho...au nipeni contacts makamanda!!! Pipozzzzzzzzzzzz

hebu tumia nali ya buku tu uende hapo kinondono ofisi kuu utapata maelezo yote.powerrrrrrrr
 
Kuna ulazima gani wa kuchangia kila thread?

Mungi.
Kwa hiyo wewe ndio unaruhusiwa kuchangia kila thread humu JF...Mkuu JF sio mali ya Chadema ni jukwaa huru.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom