Natafuta nyumba

wakudata

Member
Oct 3, 2007
26
1
Je una nyumba Dar ambayo ni fully furnished yenye at least two bedrooms na hutakuwa ukiitumia katika mwezi wa october? Isiwe mbali sana na town centre na iwe na car park. Inahitajika kwa ajili ya wageni watakaotoka Europe na kukaa hapo kwa at least mwezi mzima and possibly longer. Nitumie PM ukiwa na details za location, size and most important rent unayotaka ili nikupe deal la nguvu.
Wakudata.
 
wakudata sasa naona umedata kweli,huyo atakayekuletea deal si ina maana atajua real identity yako?au umeamua kujilipua?
 
wakudata sasa naona umedata kweli,huyo atakayekuletea deal si ina maana atajua real identity yako?au umeamua kujilipua?

Mbona kuna watu kibao hapa wanatumia majina yao halisi mkuu? Kwanini niogope mtu yeyote kujua identity yangu? kwani nimeua mtu?
 
Ukikosa kabisa cheki na madalali hawachukui wale hata masaa mawili wanakuletea deal ila wanataka na pochi lao hivo.
 
Jaribu kuwasiliana na huyu dada
AmaL HousE

Huyu mdada hana nyimbo, hiyo blog yake nadhani ina miezi sita sasa haijawa updated! best web ni estate.tzadverts.com, japokuwa kuna links za estate agent wakubwa wa bongo kama utaenda kwenye web ya t-mortgage.com, bei zao za kupanga fully furnished apartments zimekaa kizushi sana, sitaweza kupata hata cha juu!!
 
Familia yangu ina nyumba Upanga na tunakodisha kwa muda mfupi. Vyumba vyote vina choo, bafu, A/C etc. Nitumie ujumbe nikupe simu/contact na mambo mengine.
Shukrani

Kuongezea: wakudata nimekutumia ujumbe
 
Huyu mdada hana nyimbo, hiyo blog yake nadhani ina miezi sita sasa haijawa updated! best web ni estate.tzadverts.com, japokuwa kuna links za estate agent wakubwa wa bongo kama utaenda kwenye web ya t-mortgage.com, bei zao za kupanga fully furnished apartments zimekaa kizushi sana, sitaweza kupata hata cha juu!!

This estate.tzadverts.com web pisses me off coz they just give some figures on prices and leave you with a task of guessing the currency. They should put a common currency and indicate if it's $, £, € or TSh? WTF?[/B]
 
wewe unajua ni Tz..sasa unataka currency ya nini
 
Back
Top Bottom