NATAFUTA Nyumba ya KUPANGA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NATAFUTA Nyumba ya KUPANGA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Msanii, May 18, 2010.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  iwe na vyumba 3 au 2 na bei ni laki kwa mwezi.
  mahala popote dar kunakofikika na usafiri.
  Nataka kuhama hapa nilipo kwani mwanangu mchanga ameugua malaria three times a month na maji yanatuama na mwenyenyumba kagoma kufanya marekebisho ya kuzuia maji kutuama.

  kama unaamini unayo taarifa nitumie PM
   
Loading...