Natafuta Nyumba ya kupanga

undugukazi

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
315
82
Natafuta nyumba inayojitegemea au compound yenye nyumba chache, vyumba 2 ,kimoja masters, jiko safi, sebure na vinginevyo...maeneo changanyikeni,mwenge, kijitonyama, kurasini, kigamboni au chang'ombe.
 
Wilaya ya ilala , tarafa ya ukonga karibu na tabata segerea, ni mji mpya lakini unakua kwa kasi kimaendeleo.
 
kwa bahati mbaya inaonekana kinyerezi hupajui naomba jaribu kuuliza watu wanaopajua ili upate kujua ni sehemu ya namna gani, maana nimeona umetaja kigamboni sasa ukilinganisha na kinyerezi siku ukijua pakoje wewe utashangaa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom