House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya upanga au posta

Profkaka

Member
Apr 17, 2015
27
22
Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
 
DeepPond,
okay una uzoefu wa zamani, kwa sasa nyumba ni laki tau mpaka nne.

ila ili kupata unatoa milioni nane kama kilemba ya kumvua dalali, then ndio unaanza kulipa hiyo tatu ya kila mwezi.
kuna madalali wanafanya hiyo kazi hapamjini, mimi nililipa milioni 5 kuopata ubungo NHC
 
swali japo halihusiani

Nhc wanashindwa nini kuendelea kujenga majumba ya kupangisha ukiacha hizi waluzowanyanganya wahindi ili tusisumbuke makazi na kujengajenga ovyo huko kivule na charambe
wamejenga nyingi sana, nenda moroco, nenda magomeni, kila kona hazina wateja, walikuwa wanatengeneza kw bei kubwa sana
 
wamejenga nyingi sana, nenda moroco, nenda magomeni, kila kona hazina wateja, walikuwa wanatengeneza kw bei kubwa sana
wajenge flats na watoze say 100,000 kwa say vyumba viwili na sebule jiko na stoo. Halafu wawe na mfuko wa kuchangia kama pspf wale wanachama anapochangia laki mbili moja yao na moja inaingia kwenye mfuko.

Ni ushauri japo unaweza kuwa mbovu but observed this in Astana
 
Karibu kwa anaehitaji IPO hapa mtaa wa zanaki, kilemba.
okay una uzoefu wa zamani, kwa sasa nyumba ni laki tau mpaka nne.

ila ili kupata unatoa milioni nane kama kilemba ya kumvua dalali, then ndio unaanza kulipa hiyo tatu ya kila mwezi.
kuna madalali wanafanya hiyo kazi hapamjini, mimi nililipa milioni 5 kuopata ubungo NHC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom