Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
+255 22 212 8305 nhc upanga wapigie huduma kwa wateja uwaulize.Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
Duh! Jamaa katuharibiaHiyo 43,000 ni ya mwaka 1947.
Baada ya msechu au Mchechu kuingia NHC bei zilipanda. Mpaka laki 250.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka, naomba niachie, nenda mbezi beach zipo za laki tatu, mimi kazi zangu ni posta.niliingia nymba za NHC nilikuwa nalipa 87,000 sasa hivi ni around laki nne lakini nashindwa kuliachia sababu ni eneo very hot in Town...nimemua kukomaa mpaka mwisho!..wanaojua maana yake wamenielewa!
ha h ha ja aNi rahisi kummiliki mama Samia kuliko kupata hiyo nyumba
wamejenga nyingi sana, nenda moroco, nenda magomeni, kila kona hazina wateja, walikuwa wanatengeneza kw bei kubwa sanaswali japo halihusiani
Nhc wanashindwa nini kuendelea kujenga majumba ya kupangisha ukiacha hizi waluzowanyanganya wahindi ili tusisumbuke makazi na kujengajenga ovyo huko kivule na charambe
wajenge flats na watoze say 100,000 kwa say vyumba viwili na sebule jiko na stoo. Halafu wawe na mfuko wa kuchangia kama pspf wale wanachama anapochangia laki mbili moja yao na moja inaingia kwenye mfuko.wamejenga nyingi sana, nenda moroco, nenda magomeni, kila kona hazina wateja, walikuwa wanatengeneza kw bei kubwa sana
okay una uzoefu wa zamani, kwa sasa nyumba ni laki tau mpaka nne.
ila ili kupata unatoa milioni nane kama kilemba ya kumvua dalali, then ndio unaanza kulipa hiyo tatu ya kila mwezi.
kuna madalali wanafanya hiyo kazi hapamjini, mimi nililipa milioni 5 kuopata ubungo NHC
Kama hujapata, nitafute nikuunganishe na nyumba ya vyumba vitatu, kodi TSh 350k/mwezi, kilemba TSh 15Mkaka, naomba niachie, nenda mbezi beach zipo za laki tatu, mimi kazi zangu ni posta.