Habari ndugu zangu Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya msasani au mikocheni! Kama una nyumba au unafahamu sehemu yenye sifa hizo naomba msaada! Ntatoa offer 50k cash kwa atayesaidia hili NB: sitaki dalali