Natafuta Nyumba ya kupanga kwa morogoro mjini

theriogenology

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
8,750
15,638
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu natafuta nyumba ya kupanga sifa za nyumba ninayotaka ni kama ifuatavyo;
  • Nataka nyumba iwe karibu ila isiwe karibu sana na chuo cha kilimo cha sokoine
  • Iwe peke yake
  • Iwe na Maji na Umeme
  • Iwe na vyumba viwili vya kulala, sitting room na kitchen na iwe self contain
  • Ikiwa na fence itakuwa poa zaidi
  • My budget laki na nusu kwa mwezi (Tsh150,000)
Kwa ambaye anaweza fanikisha upatikanaji wa nyumba naomba ani PM kwa Mazungumzo zaidi .......Natanguliza shukrani zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom