theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,641
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu natafuta nyumba ya kupanga sifa za nyumba ninayotaka ni kama ifuatavyo;
- Nataka nyumba iwe karibu ila isiwe karibu sana na chuo cha kilimo cha sokoine
- Iwe peke yake
- Iwe na Maji na Umeme
- Iwe na vyumba viwili vya kulala, sitting room na kitchen na iwe self contain
- Ikiwa na fence itakuwa poa zaidi
- My budget laki na nusu kwa mwezi (Tsh150,000)