natafuta nyumba ya kupanga kinondoni/morocco/ block41/victoria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta nyumba ya kupanga kinondoni/morocco/ block41/victoria

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Doltyne, Jan 15, 2012.

 1. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  natafuta nyumba ya kupanga kinondoni/morocco/ block41/victoria au magomeni kuanzia usalama mpaka mapipa.

  Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo kiwe master, choo cha jumuia kiwe kikubwa, jiko liwe kubwa la kutosha, iwe na ukuta na geti na nafasi ya kupaki magari mawili. Iwe katika hali nzuri ya kuhamia hata next day, sihitaji nyumba inayosubiri mpangaji itengenezwe au ifanyiwe marekebisho....

  Kodi iendane na ubora wa nyumba yenyewe. NiPM kama unayo au unamfahamu anayepangisha.

  Shukran.
   
Loading...