Natafuta nyumba ya kupanga Buza

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,664
2,517
Habari za mchana,

Samahani kwa usumbufu. Nilikuwa naomba kama mtu yeyote anayejua kama kuna nyumba ya kupanga ipo naomba anijulishe

Location: Buza
Bei: 150k
Nyumba iwe na vyumba viwili, sebule, choo na jiko.

Asanteni
 
Ukitaka kuhama hapo ulipopata room njoo kwa mpalange hapa kuna vyumba mkuu swafi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom