Bora kujenga yako tu maana kupanga nyumba ambayo haijakaliwa na mtu ina maana una imani zako kuhusu zilizokaliwa na watu.
Anatafuta nyumba ambayo haina experience ya kukaliwa...!
Kuna watu wana maajabu yao
Nipe Mimi ila hela zangu za majini nikitoa zinarud kwangu badaeKuna ambayo ipo Kigamboni karibu na bahari mita kadhaa ni mpya ina kila kitu ndani vitu vyote vya ndani vimetoka nje..... Kwa mwezi Mil 3.4 na unalipia mwaka mzima kwa awamu moja tu....
Hio hela ya mwaka angekuwa nayo angejenga yake!Kuna ambayo ipo Kigamboni karibu na bahari mita kadhaa ni mpya ina kila kitu ndani vitu vyote vya ndani vimetoka nje..... Kwa mwezi Mil 3.4 na unalipia mwaka mzima kwa awamu moja tu....
Anatafuta nyumba bikiraAnatafuta nyumba ambayo haina experience ya kukaliwa...!
hahahah Tanzania ya viwonderAnatafuta nyumba bikira
Unataka kutambika au..Habari wakuu natafuta Nyumba ya kupanga/ apartment iwe mpya, yaan iwe haijakaliwa na mtu maeneo ya kijitonyama na sinza.
Unamaanisha kaburi,!?Habari wakuu natafuta Nyumba ya kupanga/ apartment iwe mpya, yaan iwe haijakaliwa na mtu maeneo ya kijitonyama na sinza.
Hahahaha tanzania pekee ndio zipoAnatafuta nyumba bikira