Natafuta Nyumba ya kununa Gongo la mboto

Swordfisher

JF-Expert Member
May 1, 2013
233
37
Natafuta nyumba ya kununua Gongo la mboto iliyo na hati.
Bei iwe kati ya Milioni 25 mpaka 30 ila ifanane na bei yake.
Location: Isiwe mbali na barabara ya lami ya pugu kuzidi kilomita 5
Status: Isiwe na Mgogoro wowote wa kifamilia au kiserikali,kiusajili n.k
 
hiyo bei mkuu, labda ifanane na bei kama ulivyosema. Km 5 toka pugu road nadhani tafuta kiwanja. Ila tofauti na maeneo hayo nje kidogo unaweza kupata nyumba nzuri.
 
Natafuta nyumba ya kununua Gongo la mboto iliyo na hati.
Bei iwe kati ya Milioni 25 mpaka 30 ila ifanane na bei yake.
Location: Isiwe mbali na barabara ya lami ya pugu kuzidi kilomita 5
Status: Isiwe na Mgogoro wowote wa kifamilia au kiserikali,kiusajili n.k

hujasema iwe na vyumba vingapi?
hujasema kama fensi ni lazima au vyovyote?
hujasema kama iwe na umeme ni lazima vyovyote?
hujasema kama iwe na maji ni lazima au vyovyote?
hujasema kama iwe ya udongo au tofali au vyovyote?
hujasema iwe ime-ezekwa kwa nyasi vigae au bati?
 
Back
Top Bottom