Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 2,908
- 5,998
Waimbaji wa kwaya hii walikuwa wanaimba nyimbo za Kiswahili.Wengi wa o walikuwa wazungu(kutoka Sweden) na wabongo wachache.Ilikuwa na nyimbo murua sana.
Baadhi ya nyimbo zao ni kama;Roho Mtakatifu,Nimeshinda,Yesu Anaokoa,n.k
Mfano wa mashairi kwenye wimbo huo wa Roho Mtakatifu ni kama:
"Roho Mtakatifu,Roho Mtakatifu,
Roho Mtakatifu yu juu yangu.
Imba Haleluya,Imba Haleluya,
Imba Haleluya,Furahi na BWANA."
na
"Nguvu za Giza,zitashindwa.
Kwa jina la BWANA Yesu."
Aliyenazo afanye msaada sisi wapenzi wa kwaya na miziki ya 1990s tuipate.Shukrani.
'