Natafuta nyama ya kondoo

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
Ndugu,

Hebu nielekezeni mji wowote au mtaa wowote hapa nchini, ni wapi wanauza au kuchoma nyama ya kondoo.

Najua Vingunguti kunauzwa Mbuzi na sasa hiv X-mass iko karibu hakukaliki. Bucha nyingi zinajulikana kwa nyama ya ng'ombe.

Lakini kondoo sijawahi kusikia.

Niisaidieni. Nina hamu naye nilimla mojmba aliponichinjia nilipoenda kijijini kumtembelea utotoni.
 
Njoo Arusha kwa Mromboo zipo njingi tu utashindwa mwenyewe!
 
Na mi kwa uroho wangu nikapelekwa kwenye kondooo, kutest nkashangaa ladha tofauti kabisa, nikauliza kondoo wa mjini ndio wana ladha hii? Nikajibiwa hiyo ni ze kitimoto, bwana ehhh, kuanzia siku hiyo sijaitafuta tena nyama ya kondoo, lm always asking for ze kitimoto
 
Japo ni uzi wa miaka 10 nyuma, nenda Maswa Simiyu utakula nyama ya kondoo mpaka ushindwe kutembea kwa shibe.
 
Hivi Migori na Kisumu ni miji inayokaribiana?

Ni umbali gani toka Sirari/Isbania to Kisumu

Umbali gani pia toka Migori to Kisumu na unaanza na mji gani tokea Isbania
Migori ya mtera
Iringa to dodoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom