Natafuta nguruwe

steam of ice

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
257
172
Heshima kwenu ndugu
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata nguruwe mzuri wa Mbegu mwenye mimba kwa bei nzuri anijulishe au Kama muuzaji tiririka bei na aina ya nguruwe ulonao
Shukrani
 
Heshima kwenu ndg.
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata nguruwe mzuri wa Mbegu mwenye mimba kwa bei nzuri anijulishe au Kama muuzaji tiririka bei na aina ya nguruwe ulonao.
Shukran!
Upo wapi mteja?
Unahitaji nn hasa?
Nguruwe mzuri wa mbegu presumably ni DUME au unatafuta Nguruwe jike mwenye mimba?
Fafanua unachi hitaji na ulipo uletewe mzigo
 
Mtafte mtu anaitwa Malafyale hakika hutojuta
Mkuu nadhani ulimaanisha MalafyaleP huyu.

Mkuu steam of ice mcheki huyo ndio anafuga nguruwe na ana mbegu nzuri kweli pia unaweza tembelea ukurasa wake wa Instagram unaitwa "malafyalepigfarm" kama sijakosea.

Pitia huko utaona aina ya mbegu alizonazo pia kuna vitabu viwili ameandika kuhusu ufugaji wa nguruwe ukipata bahati ya kuvipitia ni msaada kweli vimeelezea mambo mengi sana na vimeandikwa kupitia ujuzi wake alioupata katika tasnia ya ufugaji nguruwe.
 
Mkuu nadhani ulimaanisha MalafyaleP huyu.

Mkuu steam of ice mcheki huyo ndio anafuga nguruwe na ana mbegu nzuri kweli pia unaweza tembelea ukurasa wake wa Instagram unaitwa "malafyalepigfarm" kama sijakosea. Pitia huko utaona aina ya mbegu alizonazo pia kuna vitabu viwili ameandika kuhusu ufugaji wa nguruwe ukipata bahati ya kuvipitia ni msaada kweli vimeelezea mambo mengi sana na vimeandikwa kupitia ujuzi wake alioupata katika tasnia ya ufugaji nguruwe.
Uko sahihi mkuu
 
Upo wapi mteja?
Unahitaji nn hasa?
Nguruwe mzuri wa mbegu presumably ni DUME au unatafuta Nguruwe jike mwenye mimba?
Fafanua unachi hitaji na ulipo uletewe mzigo
Salama kaka.nilikuwa nahitaji watoto wa nguruwe .jipo Arusha je unao?
 
Back
Top Bottom