Natafuta namna nzuri ya kushinda tenda

mzeefursa

Member
Sep 5, 2016
9
4
Hello wana Jamii forum...
Jamani mimi nafanya kazi katika kampuni fulan hapa mjini lakin kila nikiomba tenda nakosa, wanapata washiriki wengine.
Tafadhalini naombeni mbinu za kushinda na kuchukua tenda
 
Kuna haya;

Kutayarisha documents vibaya labda imekuwa incomplete.

Mnaweka price ambayo sio affordable

Hamna network na connection na Wadau.Hii ndio sana.

Espionage pia ni muhimu.Ushushu wa kujua competitors wako wanafanyaje.

Sample ni muhimu sana.

Yawezekana pia huwa mnalipua kazi za watu na kuchelewesha.Wateja huambiana.

Hamjitangazi.

Au kama vipi niajiri mimi.
 
Back
Top Bottom