"Natafuta Namna kukuadhibu" Hii Kauli Hii

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Kama kichwa kijielezavyo, Hii kauli ilitolewa juzi juzi na mmoja wa kiongozi wa muhimili mkubwa sana katika nchi...


Kikwetu ukisema kauli hii ni kauli ya sayansi nyingine kabisa, ni kauli ammbayo anayeambiwa asipoomba msamaha kuna lolote la kumdhuru laweza mtokea, kisayansi yetu hii ni kauli ambayo inapaswa kuangaliwa kwa umakini sana na anayesemwa...


Ila ninaamini kiongozi huyo kwa namna anavyosema na mambo anayoyafanyaga kwenye uongozi wake bila shaka ana sayansi zetu hizi.


Bila shaka sayansi yake hii itafanya kazi lakini isifanikiwe kabisa kabisa....


Natamani wazee wa mila sasa waisimamie hii kingdom maana...khaaaa!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom