bulbulmunar
Member
- Dec 17, 2015
- 56
- 14
Natafuta nafasi...ya kazi...ya kujitolea kwenye vyombo vya habari(Television)...
Nenda redio mlimani upeleke barua yako wataipokea na kukusaidia..pale utaanza kwa kwenda kuchukua news then wakishaona ume improve wanaanza kukuwek kwenye tv..bdaa ya hapo uwa zinatokeaga ajira nyingi vituo mbalimbali unaweza ukapata maana wengi unaowaona kwenye tv na redio wametokea mlimani redio..cha muhimu uvumilivu,nenda kwa editor anaitwa silvia mkabidhi barua yako yupo peace hana tabu atakusaidiaNatafuta nafasi...ya kazi...ya kujitolea kwenye vyombo vya habari(Television)...