Natafuta nafasi ya kufundisha physics

Naweza pata details kidogo mkuu? Jamaa juu hapo kanipa option ya Pwani ila nikiwaza itabidi nikaishi huko, napata wakati mgumu kwa ofa yake....

njoo mafia pwani, tutakupa hela nzuri nitunie namba yako email yangu, frehuu@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom