😅😅😅😅Miaka 23 ni mdogo sanaaa subiri maisha yakupige pige
Njoo unisaidie kusambaza bidhaa Fulani kwa wateja utatumia baiskeli kuwapelekea ama pikipiki.nipo mzaMiaka 23 ni mdogo sanaaa subiri maisha yakupige pige
Cheki na NGO hii SORF iko dodomaElimu yangu shahada ya utumishi wa umma(Bachelor in Public Administration).
Umri miaka (23)
Mahali ni Dodoma.
Mkuu una roho ngumuMiaka 23 ni mdogo sanaaa subiri maisha yakupige pige
Bado mdogo sana ivyo we pambana tyu kwa mtaaa akili ikomae..kwanzaElimu yangu shahada ya utumishi wa umma(Bachelor in Public Administration).
Umri miaka (23)
Mahali ni Dodoma.
......dunia simama Nishukee...!!Njoo unisaidie kusambaza bidhaa Fulani kwa wateja utatumia baiskeli kuwapelekea ama pikipiki.nipo mza