Natafuta nafasi ya kazi(social security/protection administration)

thepresidar

Member
May 6, 2011
34
6
JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NATAFUTA NAFASI YA KAZI,
NI MEHITIMU CHUO KIKUU TOKA 2010 PALE IFM KATIKA MAMBO YA SOCIAL SECURITY, NINA UMRI WA MIAKA 25 NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI KWENYE MIFUKA YA PSPF NA NSSF. UZOEFU WANGU NI WA MWAKA MOJA NA NUSU ....NIMEJITOLEA HAPO ZAIDI YA MWAKA LAKINI SIKUPATA NAFASI YA KUAJIRIWA KAMA TUNAVO JUA MAMBO YETU YA Technical know WHO......TAFADHALI WANA JF NAOMBA YOYOTE MWENYE KUHITAJI MSAADA WANGU KWENYE PROFESSIONAL HII TUWASILIANE ...thepresidar@yahoo.com
tel+255787287801
+255715987801
 
JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NATAFUTA NAFASI YA KAZI, NI MEHITIMU CHUO KIKUU TOKA 2010 PALE IFM KATIKA MAMBO YA SOCIAL SECURITY, NINA UMRI WA MIAKA 25 NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI KWENYE MIFUKA YA PSPF NA NSSF. UZOEFU WANGU NI WA MWAKA MOJA NA NUSU ....NIMEJITOLEA HAPO ZAIDI YA MWAKA LAKINI SIKUPATA NAFASI YA KUAJIRIWA KAMA TUNAVO JUA MAMBO YETU YA Technical know WHO......TAFADHALI WANA JF NAOMBA YOYOTE MWENYE KUHITAJI MSAADA WANGU KWENYE PROFESSIONAL HII TUWASILIANE ...thepresidar@yahoo.com tel+255787287801 +255715987801
umehitimu chuo kikuu cha IFM? una uzoefu wa mwaka na nusu wa kujitolea? ngoja kwanza nitafakari una maanisha nn
 
JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NATAFUTA NAFASI YA KAZI,
NI MEHITIMU CHUO KIKUU TOKA 2010 PALE IFM KATIKA MAMBO YA SOCIAL SECURITY, NINA UMRI WA MIAKA 25 NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI KWENYE MIFUKA YA PSPF NA NSSF. UZOEFU WANGU NI WA MWAKA MOJA NA NUSU ....NIMEJITOLEA HAPO ZAIDI YA MWAKA LAKINI SIKUPATA NAFASI YA KUAJIRIWA KAMA TUNAVO JUA MAMBO YETU YA Technical know WHO......TAFADHALI WANA JF NAOMBA YOYOTE MWENYE KUHITAJI MSAADA WANGU KWENYE PROFESSIONAL HII TUWASILIANE ...thepresidar@yahoo.com
tel+255787287801
+255715987801

Kweli tuna safari ndefu sana,graduate unashindwa hata kujielezea vizuri ukaeleweka
Nways Usikate tamaa jaribu kupeleka CV sehemu mbali mbali unaweza kupata job mkuu
Nafikiri kama ungejituma sana kwa bidii zote kwenye hizo internship ulizokuwa unapiga
wasingekuacha hata kwa dawa hata kama huna mtu anaekujua,next ukipata chance work like crazy mkuu
 
JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NATAFUTA NAFASI YA KAZI,
NI MEHITIMU CHUO KIKUU TOKA 2010 PALE IFM KATIKA MAMBO YA SOCIAL SECURITY, NINA UMRI WA MIAKA 25 NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI KWENYE MIFUKA YA PSPF NA NSSF. UZOEFU WANGU NI WA MWAKA MOJA NA NUSU ....NIMEJITOLEA HAPO ZAIDI YA MWAKA LAKINI SIKUPATA NAFASI YA KUAJIRIWA KAMA TUNAVO JUA MAMBO YETU YA Technical know WHO......TAFADHALI WANA JF NAOMBA YOYOTE MWENYE KUHITAJI MSAADA WANGU KWENYE PROFESSIONAL HII TUWASILIANE ...thepresidar@yahoo.com
tel+255787287801
+255715987801
mbona hauna elimu ya chuo kikuu! wewe umesoma taasisi hiyo
anyway nakushauri sio lazima ufanye kazi kwenye pension fund maana ata kwenye ngos watu wa course yako wapo wengi tu
 
Asante kwa ushauri,kwani chuo kikuu we unae;ewa nini?na sijasema kufanya kazi pension fund....read btwn the line
 
9 years later....Kijana Usikubali kukata/Kukatishwa tamaa wish some of you guys c’ld see me today...Nilipoandika kuna walionoshauri vizuri ila wako walio jaribu kutoa kebehi but The Sky is not the limit while people are walking/workin on space/mars
 
Tupe mrejesho mkuu tupate inspiration
 
9 years later....Kijana Usikubali kukata/Kukatishwa tamaa wish some of you guys c’ld see me today...Nilipoandika kuna walionoshauri vizuri ila wako walio jaribu kutoa kebehi but The Sky is not the limit while people are walking/workin on space/mars

Acha mafumbo umeteuliwa kuwa nani na Mh Rais?
 
Umemaliza 2010, alaf una miaka 25 leo 2019, it means ulimaliza chuo kikuu ukiwa na miaka 17. Mmh
 
Ana miaka 25 na amemaliza chuo 2010 uzoefu ni 1.5 years

Hueleweki kabisa so ulimalza chuo ukiwa na miaka 15
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom