Natafuta nafasi ya Internship/Volunteering kwa nafasi ya Quantity Surveyor.

fab280391

Senior Member
Jul 29, 2015
122
31
Habari wana JF! Yoyote mwenye kufahamu kampuni ya ujenzi yenye nafasi upande wa Quantity Surveyor ikiwa ni trainee, Internship au volunteering. Naomba uni PM
 
Asante, Nilijaribu kwenda pale bt Walinzi hawakuniruhusu kuingia kwenye ofisi walipiga simu kwa muhusika na kujibiwa hakuna nafasi.
Ndo tatizo la Kampun za Kitanzania ukiomba internship wao wanafikiri uta ngangania kukaa kazini wakat ni kitu cha mkataba tuu machahe sana yenye Ku accept internship Ndo watu wanakosa kuonyesha skilss zao baada ya kutoka chuo
 
Kweli kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom