Natafuta Nafasi ya Field ya barabara katika Civil engineering fiel

yotekwayote

New Member
Mar 1, 2016
3
0
Wadau naomba kujua makampuni ninayoweza kupata nafasi katika upande wa ujenzi wa barabara(Road construction) au upande wa Material engineering kama nitapata makampuni ya mikoa ya Dar-es-salaam, Arusha na Mwanza nitafurahi zaidi ili kupunguza gharama.....
 
Kuna makampuni haya.
JASCO-DAR
KASCO-DAR
NYANZA CONSTRUCTION LTD-MWANZA

Mawili hapo juu jasco na kasco siyaelewi kiundani ila NYANZA hiyo nenda umejiandaa kufanya kazi ili upate uzoefu kama huna...otherwise hawa wahindi ni watata...posho utaisikia kwenye bomba...
 
Wadau naomba kujua makampuni ninayoweza kupata nafasi katika upande wa ujenzi wa barabara(Road construction) au upande wa Material engineering kama nitapata makampuni ya mikoa ya Dar-es-salaam, Arusha na Mwanza nitafurahi zaidi ili kupunguza gharama.....

Gharama gani unazungumzia maana mwanza, Dar na Arusha ni maeneo yaliyo mbali mbali au lengo lako ni kufanya field katika majiji makubwa palipo na starehe??
Civil nyingi miradi mikubwa ya kukupa uzoefu mzuri ni mabarabara yaliyoko maporini na hata makampuni ya majiji makubwa kama hayo miradi inakua mikoani au hujui kazi za Civil nyingi zinafanyika katika mazingira gani?????

Kama uko serious na field ni PM nikuunganishe na kampuni ya ujenzi wa barabara ya Mirambo to Tabora Ila kama unatafufa majiji makubwa endelea kutafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom