Natafuta mwl wa python language. Nipo kigamboni.

nivlac

New Member
Sep 1, 2015
2
2
Habari wana JF. Mimi ni mkazi wa Kigamboni ninajishuhulisha na web design. Nina idea ya programming kama html, css, php na kwa mbali kama C. Nmetokea kusikia kuhusu python lang. Natafuta mtaalamu mwenye ujuzi anipe mwanga zaidi maana nimedesa online naona mambo bado hayajakaa sawa.

Ni pm ujuzi wako na gharama zake kama upo apa mjini dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
 
name=input("name please:)
Print(,name"natafuta mwl wa python)
 
Kwahiyo huyo mwalimu aje akufuate kigamboni ili akufundishe? Kwagharama zake au? Jiongeze!
 
Wewe tu.








 
Mkuu nenda katafute video tutorials kule udemy.com zingine ni project based, au nenda udacity.com, au tutsiplus nao wazuri.
Unaanza intro hadi unamalizia project kamili.
 
Nenda tovuti ya EdX, lipia na ujifunze online wanatoa certificate mwisho wa mafunzo.
Habari wana JF. Mimi ni mkazi wa Kigamboni ninajishuhulisha na web design. Nina idea ya programming kama html, css, php na kwa mbali kama C. Nmetokea kusikia kuhusu python lang. Natafuta mtaalamu mwny ujuzi anipe mwanga zaidi maana nmedesa online naona mambo bado hayajakaa sawa.

Ni pm ujuzi wako na gharama zake kama upo apa mjini daslam. Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom