Natafuta Mwenzi wa Maisha

Ndoa za siku hz sio za zamani,watu wanaachana kila kukicha kwa sababu mbali mbali,there are few good men out there wameachika they need a second chance.
Aiseee! Awe mkristo,ana hofu na Mungu then awe ameachika au na mtoto, hv wakristo kuna kuachika kweli?!
Anyway all the best mamdogo.
 
Tuwasiliane PM nafanya shortlisting bado.We can speak the same language I have noted.Nadhani itabd nifanye exceptions kwa miji,Mwanza hapo flight kila siku,eeh nisije tena nikaambiwa nina majigambo maana watu wengine humu hazimo kbs.

Eebwana umejuaje nami natafta mtu,mke wa kushea naye katika haya maisha mafupi, ila niko rock city nimwajiriwa wa serikali na malizia research yangu ya masters,35 yrs.mrefu,maji ya kunde na pombe mara moja kwa mwaka.
 
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.

Kwa wenzangu na sisi ambao hatujasoma yetu macho
 
Ndoa za siku hz sio za zamani,watu wanaachana kila kukicha kwa sababu mbali mbali,there are few good men out there wameachika they need a second chance.

japo mm sio mkristo bt wakiacha hakuna kuoa tena otherwise mmoja mauti yamkute ndipo mwingine aoe. Je utazini in all ur life?
 
Hy ni zamani,siku hz ndoa zinafungwa mpya ila sie makanisa yote yanakubali,inategemea ground za kuvunjika kwa previous ndoa.
japo mm sio mkristo bt wakiacha hakuna kuoa tena otherwise mmoja mauti yamkute ndipo mwingine aoe. Je utazini in all ur life?
 
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.

Jee? Ikitokea mtuu kafoji vyeti kuonyesha amekizi vigezo kumbe aliishia d7 unakuja kugunduwa baadayee mkiwa ndani ya mahusiano huo mda hakuna kosa jingne kaonyesha mapenzi ya kweli jee ukigunduwa hilo unaweza vunja usiano wenu ukimuhoji kwanini ulifoji vyeti jibu mapenzi utafanyeje
 
Naruhusiwa maana mim najitegemea ila nina makaz yangu hapo da... Ila kazi yangu nalima karanga kwetu mpyapya kwa mwaka napata gunia 10 nikipata chans naongeza shamba la mahindi. Elimu darasa la saba la upe!
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
 
Naruhusiwa maana mim najitegemea ila nina makaz yangu hapo da... Ila kazi yangu nalima karanga kwetu mpyapya kwa mwaka napata gunia 10 nikipata chans naongeza shamba la mahindi. Elimu darasa la saba la upe! Nina punda wa nne kwa ajili ya mizigo.

No Thank u

Similar Discussions

Back
Top Bottom