Natafuta Mwenzi wa Maisha

About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
Naomba ufafanuzi hapo kwenye usomi wako tafazali........ Your quick response is highly appreciated.
 
vigezo viwili vimenitenga hapo cha kuishi Dar na cha umri yaani .....................
 
Natoa shukrani nyingi kwa wote walionitumia PM,naomba kama umri wako uko under 35 tafadhali usinimsg.Kama tumechati ukaona kimya ujue haupo tena kwenye shortlist.Usijisikie vibaya manake mwisho wa siku ni mtu mmoja tu anahitajika.

Dah! Hiko kweli ni kinyang'anyiro,mshindi lazima apatikane,wengne wameongeza sifa zao wenyewe,eti mshedede mrefu na mnene
 
Siko kama mshauri, nahisi hii ni post ya wanaume wanawake tunachemsha. Sasa nakushauri tu uombe Mungu wako akupe mume mwema, ila kama unataka wa humu ndani na umri unoataka, utakutana na waume za watu waliovua pete za ndoa watakufanya kitu mbaya utabaki mdomo wazi.

Mimi mwanamke above 35, nimekutana na mambo mengi sana, vigezo vyako vitakutupa pabaya! Omba sana, Mungu ni mwaminifu anatenda.
 
Baby hujambo ? hili la kushinda Love connect linanipa wasiwasi kama kuna sehemu nakosea niambie nijirekebishe usije ukakata mti/panda mti lol!

hahahahaha, mpenzi usihofu bana. Nawafariji fariji hawa waliokosa wachuchu. Lol.
 
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.

Mbona huna mwelekeo
 
Kwa kuongezea tu Mlimani City naenda sana tena sio kunywa soda cause pesa za kutumia ninazo.

Umeonyesha katabia fulani hivi ka ubishi na kujisifia "mbele za watu", kitu ambacho sio sifa nzuri kwa "wify material"... Nakutakia kila la heri...
 
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.

Aiseee! Awe mkristo,ana hofu na Mungu then awe ameachika au na mtoto, hv wakristo kuna kuachika kweli?!
Anyway all the best mamdogo.
 
Siko kama mshauri, nahisi hii ni post ya wanaume wanawake tunachemsha. Sasa nakushauri tu uombe Mungu wako akupe mume mwema, ila kama unataka wa humu ndani na umri unoataka, utakutana na waume za watu waliovua pete za ndoa watakufanya kitu mbaya utabaki mdomo wazi.

Mimi mwanamke above 35, nimekutana na mambo mengi sana, vigezo vyako vitakutupa pabaya! Omba sana, Mungu ni mwaminifu anatenda.

duh CD salute mamdogo mana umenizidi years kibao duh kama 7 hv, sasa nitakua nakupa heshima yetu ile Shikamoo mamdogo.
 
Don't judge a book by its cover ndugu yangu,wife material kwako sio kwa mwingine,ni mitazamo tu,sasa ww mtu akwambie uende ukanywe soda pale ndo umpate mwenzi sie ni sawa amekuequate na changu?Na nilivyomjibu sie kujisifu ila ndo ukweli wenyewe.
Umeonyesha katabia fulani hivi ka ubishi na kujisifia "mbele za watu", kitu ambacho sio sifa nzuri kwa "wify material"... Nakutakia kila la heri...
 
Yaani we ndo umepotea kweli,aliyekuambia nakuhitaji ww nani?U seem to have what is known as inferiority complex.Hukuhitaji kutoa ushauri ktk hii post,kuna section ya ushauri,kha. Level ya kufikiri iko chiniiii.
Watch out, wanaume serious hatupendi wanawake wa majigambo na tambo za pesa!, utapata wale wa kuhitaji pesa yako halafu ikikatika (you never know) au wakiridhika wanakukimbia. Japo hupendi ushauri lakini wewe mwenyew unatulazimisha kukupa ushauri!,

Samahani kwangu huna nafasi, sihitaji pesa zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom