Natafuta Mwenzi wa Maisha

Natoa shukrani nyingi kwa wote walionitumia PM,naomba kama umri wako uko under 35 tafadhali usinimsg.Kama tumechati ukaona kimya ujue haupo tena kwenye shortlist.Usijisikie vibaya manake mwisho wa siku ni mtu mmoja tu anahitajika.
 
Eebwana umejuaje nami natafta mtu,mke wa kushea naye katika haya maisha mafupi, ila niko rock city nimwajiriwa wa serikali na malizia research yangu ya masters,35 yrs.mrefu,maji ya kunde na pombe mara moja kwa mwaka.
 
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.

QueenQueen,umeweka criterias nyingi mno! Bahati mbaya sana 'mtu mwenye upendo wa kweli' si moja ya criteria kwako. Love has got its own stream.Love haipatikani kwa criteria kana za kwenye usaili la sivyo ungeongeza kigezo kuwa awe na experience ya kupenda/kupendwa kwa at least 5yrs.. Usiweke conditions nyingi,utawakimbiza wenza wa ukweli ubaki na pretenders.
Naamini JF ina watu makini,watabia naaina yako.
Wish u good lucky.
 
mnh mdada uwe 35 years,uwe na kazi na kipato bado utapata mwenza,i guess story yako ingekuwa kinyume uko 35 na huna kazi/kipato ungesikia kila aina ya kashfa hapa ulikuwa wapi siku zote??anyway ....all the best
 
Mi nimeipenda hii, i like women who knows what they want and they go for it bila kuogopa maneno ya watu
 
Kwa kuongezea tu Mlimani City naenda sana tena sio kunywa soda cause pesa za kutumia ninazo.

Watch out, wanaume serious hatupendi wanawake wa majigambo na tambo za pesa!, utapata wale wa kuhitaji pesa yako halafu ikikatika (you never know) au wakiridhika wanakukimbia. Japo hupendi ushauri lakini wewe mwenyew unatulazimisha kukupa ushauri!,

Samahani kwangu huna nafasi, sihitaji pesa zako
 
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.

Natoa Tamko: nenda FB mara moja
 
Mapenzi hayapatikani kwa bahati nasibu. Tulia muombe mungu, atakujaalia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom