Natafuta Mwenzi wa Maisha

QueenQueen

Member
Oct 6, 2011
26
17
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi

Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:

-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake

If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
 
umenipata.kama zali vile kila sifa ninayo.nipe maelekezo cha kufanya.usinitose coz mimi ndo nimekuwahi.mia
 
Vigezo vyote ninavyo isipokuwa moja tu!!!!!'AWE ANAKAA DAR' Hilo tu ndo limenitoa out!!!! bye Mungu akutimizie hitaji lako
 
Asanteni,
Niko serious jamani,nina kila kitu ninachohitaji kuishi confortably except someone to share life with.
Nina imani yupo niliyepangiwa,nimebarikiwa mengi I must say,najua kwa hili Mungu hatoniacha peke yangu.
Kuhusu umri-mid 30s; muonekano:Wa kawaida kabisa,no model figure.Cute face though.
Nilisahau kunote kuwa sihitaji mwenzi Handsome-I have been there,it is a headache.Nahitaji mwenzi mwenye muonekano wa kawaida.
Till then.
Queen


Ni
 
well!
maelezo yako yanajichanganya sana dada! kwa taarifa tu ni kwamba kwa mtu mwenye hofu ya Mungu ni yule aliyeokoka na mtu aliyeokoka hanywi pombe kabisa na pia hatakiwa kuacha na akiachika hatakiwi kuoa unless amefiwa tu. Ukitaka kumpata aliyeokoka basi Uokoke kwanza na uachane na maisha ya kuonja onja na kuonjwa onjwa, Biblia inasema mtu akiokoka anakuwa kiumbe kipya kwa hiyo historia ya uchafu uliopitia itafutika na hata ukimpata mwenzi utaanza upya kwelikweli without thinking of previous Love and lovers.
 
Kwenye hilo ndugu yangu tutabishana mpaka kesho,definition ya kuokoka kila mtu anayo yake.Niliposema hofu ya Mungu,I meant,mtu anayemfahamu Mungu,anayefanya juhudi kutenda mema,kutokosea wenzake,nasema juhudi kwa kua sisi ni binadamu na ktk ubinadamu wetu huanguka dhambini,ila Mungu anatupenda siku zote na anatusamehe pale tunapotubu na kufanya jitihada tusikosee tena. Nisingependa kua na Mwenzi asiyependa dini na kwenda kanisani kusikiliza neno la Mungu kwani linatusaidia kuishi vyema.
Kila mtu ana haki ya kufikiri na kutoa mawazo.
 
Nimesahau kuzungumzia swala la Pombe,dini yangu haikatazi kunywa pombe na hata mimi nakunywa so ningependa Mwenzi anayekunywa lkn sio Mlevi.
 
umeshajaribu Mlimani city? Wengi wamefanikiwa kwa kukaakaa pale nje na kuagiza soda...waweza bahatisha..dada.
 
Unajua tatizo nililoona kwa mda mfupi nilioweka hii post ni kua watu wengi
wanachukulia mambo kiutani.Kuna section imeandikwa Mahusiano,mapenzi,urafiki hapo ndipo watu wanatoa mambo ya ushauri then kuna sub-section imesema 'love connect" hapo kama unatafuta mchumba,mpenzi,rafiki etc unapost,Sasa mimi nimepost hapo,ninachoshangaa badala ya kupata post zenye interest napata post za ushauri,It's a bit confusing.But anyway uelewa uko tofauti.Nashukuru washauri wote but really I don't need ushauri,nahitaji yule aliyefit vigezo afanye mawasilianao kwa PM,so far nimepata PM 5 toka jana ambazo nitazijibu.
Nilichogundua watu wengi wako kukebehi na kudcourage wenzao hiyo sio Great thinking Jamani.Sorry lakini kama nitaeleweka tofauti.


umeshajaribu Mlimani city? Wengi wamefanikiwa kwa kukaakaa pale nje na kuagiza soda...waweza bahatisha..dada.
 
  • mimi nina nina miaka 28.
  • nina masters ya finance (nafanya graduation mwaka huu).
  • nimeajiriwa lakini pia nina kampuni yangu.
  • nimejaariwa kuwa na mshedede mrefu na mnene kiasi cha kufanya mabinti wadogo wanikimbie.
  • na vigezo vyooote ulivyotaja ninavyo isipokuwa cha umri.
  • nipo tayari kuwa na wewe kama utakuwa tayari kuweka pembeni umri as age is just a number.
  • kama sababu ya umri haiwezi kutuzuia kuwa wapendanao nifahamishe tuwasiliane tafadhari.
  • n.b uwe tayari kupima hiv.
 
Nimesahau kuzungumzia swala la Pombe,dini yangu haikatazi kunywa pombe na hata mimi nakunywa so ningependa Mwenzi anayekunywa lkn sio Mlevi.

Queen, nakushauri acha kunywa, wakaka wengi hawapendi wake wanaokunywa. Kama sawa sema ndio kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom