Natafuta Mwenza (Mke)

Meja mstaafu

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
520
1,110
Sifa zangu
1. Mkristo( dhehebu A.I.C)
2. Nina miaka 30
3. Mwenyeji kanda ya ziwa.
4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo)
5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde.
6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu.

SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI
1. Umri miaka 20-25
2. Dini mkristo.
3. Elimu kuanzia darasa la saba kuendelea.
4. Awe tayari kuishi pembezoni kidogo na miji ( kijijini) ndio napofanyia shughuli zangu.

Kwa ambae yupo tayari, namkaribisha kwa moyo mkunjufu PM, ajipatie mme wa mfano( Fahari ya kijana wa Kitanzania).
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom