Nyangaramera
Member
- Jan 19, 2017
- 59
- 43
Habari wadada wa jf
Mimi ni mwanaume wa 30yrs.Ninaishi dar ni mwajiriwa,kipato cha wastani.
NB.kama kichwa cha habari kinavyojieleza,natafuta mwenza/mke ambaye atakuwa tayari tuoane na kuanzisha familia.
Sifa zangu:
Mrefu wa wastani(si mfupi)
Elimu chuo kikuu (degree ya accounts)
Dini mwislam
Maji ya kunde
Sifa za ninayemuhitaji:
Awe mrefu wa wastani
Elimu kuanzia form six kuendelea
Rangi maji ya kunde/mweupe
Dini yoyote (preferably muislam ili kusiwe na obstacle kwenye kuoana)
Mwenye shape (im so loyal na shape awe amejazia kiasi)
Mcha Mungu
Aliye tayari kindly ani pm.please be serious .niko serious katika hitaji langu
Asanteni