KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,126 32,808 Dec 21, 2013 #1 Wakuu natafuta simu tajwa hapo juu..iwe kwenye hali nzuri basi mwenye nayo tufanye PM..ofa yangu ni 50000/=
Wakuu natafuta simu tajwa hapo juu..iwe kwenye hali nzuri basi mwenye nayo tufanye PM..ofa yangu ni 50000/=
M mtweve jr JF-Expert Member Jul 26, 2013 232 13 Dec 21, 2013 #2 utauziwa maradhi kwa bei yako hiyo mkuu.tafuta elfu 70 nikupe nokia e5
ngosha2011 JF-Expert Member Aug 20, 2011 681 87 Dec 21, 2013 #3 mtweve jr said: utauziwa maradhi kwa bei yako hiyo mkuu.tafuta elfu 70 nikupe nokia e5 Click to expand... Nimeku PM
mtweve jr said: utauziwa maradhi kwa bei yako hiyo mkuu.tafuta elfu 70 nikupe nokia e5 Click to expand... Nimeku PM