Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli

Hiyo barabara ya Mpiji imewekwa bikon(spelling please) mwaka juzi, hizo bikon zimekukwepa kweli au ndo yale yale mbuzi kwenye gunia? Maana wengi sasa hivi wanaingia mkenge sana ktk barabara hizo mbili ( Mpiji na hii ya Mbezi msakuzi) kuna bikon ziko ndani kidogo. Angalia kuna kilio.
 
Hiyo ni biashara kataka mwarabu so haina haja kutoa mdomo wako

ndo mwarabu mwenyewe wewe sio? mbona unakuja juu sana? yes kakosea kusema anataka mwarabu, kwani anataka kuuza eneo au anataka mwarabu?
 
Hii inatia mashaka,huyu sharobaro huenda anataka bash* wa kiarabu!!! sema bei,weka namba za simu-kwishnei!!
 
Nahofia atatokea mwarabu halafu masharti yataongezeka kwamba awe mwarabu at the same time awe bash............aah nimesahau, bahashwan!
 
hivi akil zako zina akil kwel we kiumbe..em heshim hata huyo baba ako mmatumbi bc
 
Huyo mwarabu unataka kumuuzia kiwanja tu? au kuna yako mengine unayotaka kumuuzia ambayo unatuficha? we sema tu, wanunuzi wa 'hiyo' pia wapo
 
Dah! mimi nimechoka kabisa, lakini ndio uhondo wenyewe wa JF huu, lazima kuwe na kachumbari kidogo kunogesha jukwaa. asante sana mtoa mada maana umenisaidia kuondoa stress za maisha, maana nimecheka leo mpaka mbavu zinaniuma.
 
hii thread yako iandike tena, inamaana hakuna wengine wanaoweza kununua zaidi ya waarabu...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom