Natafuta mwanaume

Mimi ni msichana naamini mme anapatikana sehemu yoyote. Natafuta mme awe mkristo mwenye miaka 29-33. Naomba ani PM.

Busara zaidi kama ukianika profile yako ili wanaume wanaohitaji kuwa nawe wajitathmini kupitia profile yako.
 
Vicky, nimepitia majibizano yote kwenye safu hii. sijajua sana kwanini hujataka kujieleza wewe mwenyewe pengine ni umefanya hivyo kwa lengo la kumpata akupendae kweli na si kwa vigezo. nami nitafute kwa namba 0786601598 pengine sifa zinaweza kuwiana.
 
Vicky, nimepitia majibizano yote kwenye safu hii. sijajua sana kwanini hujataka kujieleza wewe mwenyewe pengine ni umefanya hivyo kwa lengo la kumpata akupendae kweli na si kwa vigezo. nami nitafute kwa namba 0786601598 pengine sifa zinaweza kuwiana.
 
Mimi ni msichana naamini mme anapatikana sehemu yoyote. Natafuta mme awe mkristo mwenye miaka 29-33. Naomba ani PM.

tuambie na vigezo.. mweupe mweusi, mnene mfupi au yeyote atakayekuja mbele yako twende kazi tu?
awe mneneeee hayaaaa awe mwembabaaaa hayaaaaa awe mfupiiiiii kwako hayaa tuuuu awe mreeeffuuuuu kuliko Thabit kwako sawa tuuuuuuuuu au una choice?:hippie: :target: :hippie: :target: :hippie:
 
Dini, umri, kabila, rangi n.k what do they matter ktk ndoa?
Vigezo vingine vinapunguza credibility.
hivi vitu vinamatter sana, kama unazungumza theory sawa, ila kama unazungumzia practise ya ndo hapa umeongea pumba mkuu! sorry lakini.
 
hivi wanawake mnaojitokeza humu kutafuta wenza mbona tukituma PM hamjibu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom